Ni vizuri kuelewa mzunguko huo kwa wale walio kwenye ndoa kwani sio rahisi kwao kutumia condom, kuufaham mzunguko huu kutawasaidia kuepuka mimba zisizopangwa.Kwa hiyo ni muhimu kwako pia bro kuelewa ili uweze kupanga vizuri na shemeji.[emoji14]Haya mambo nimagumu sana haya mambo nimeyasoma pr na sec ila bado yananipiga chenga ujanja kutumia kinga! Na kinga hujisikii ile kitu roho inapenda
Basi uwezekano wa mimba hapo ingekua tarehe 21 hadi 27 kama mzunguko wake ni normal, ingawa kuna wakati irregularities zinatokea kwa sababu ya vitu kama stress,diet,matumizi ya madawa ya kuzuia mimba,disturbance ya level za hormone za uzazi, kwa hiyo ni vizuri akapima tu kujihakikishiamwezi ulopita alianza tareh 10 trigeminal
Hahaha!! Wabongo ni mabingwa wa kusingizia wenzao shida zao, umenifurahisha sana kumwambia ukweli!!Dada wala usihangaike mpe hongera mama yako mdogo ingawa nahc ni wewe ila hutak kuwa muwaz, jiambie hivi kuwa nina mimba anza maandaliz ya kupokea kiumbe na clinic kwa sana, hongera maelezo ni meng ningekupa ila jua kuwa umenasa vizuri kabisa hongera sana.
Na kwa jinsi unavyouliza ni dhahiri una wasiwasi na haukuwa tayari kupata hiyo mimba! jibu ni kwamba unayo mimba, incase ni mwanafunz wajulishe wazaz wako mapema na aliyekupa mimba. Hongera loveness
ONYO:usifikirie kuitoa hiyo mimb ukithubutu kuitoa utakufa.