0897
Member
- Feb 25, 2022
- 39
- 92
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa TZ.
Nilikutana na mwanamke kimwili kuanzia tarehe 20 mpaka 23 yaani alikuja getho tukawa pamoja kwa siku hizo.
Ila anadai aliingia period tarehe 12 mwezi huo sasa nahofia kuwa alipata ujauzito ila kinachonitoa hofu mbegu zilikuwa nyepesi sana maana kwa siku hizo nilipiga shoo ya maana sidhani kama atashika ujauzito.