Je Inawezekana Gari kuwa na size mbili tofauti za rim?

Je Inawezekana Gari kuwa na size mbili tofauti za rim?

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,439
Reaction score
1,738
Habari wadai.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Hivi inawezekana kweli.

Naambatanisha picha kwa msaada zaidi
20180214_110718.jpg
 
Naona tofauti ni nchi moja R15 na R16. Sidhani kama kuna tatizo.
 
Mkuu, hio picha uloekewa haimaanishi kama uweke rim tofauti kwa apo apo. Hio inakuonesha wewe Ukiwa umefunga aidha, rim 15 inch basi ujazo wake wa upepo uwe vipi kutokana na Load na ukiwa umefunga rim 16 inch ujazo wake wa upepo uwe vipi kutokana na load.
 
Asante kwa kunisaidia maana hii kitu imeniumiza akilil sana. maana nilikuwa nikiangalia kwenye front na rear ni size tofauti
 
Back
Top Bottom