Mkuu, hio picha uloekewa haimaanishi kama uweke rim tofauti kwa apo apo. Hio inakuonesha wewe Ukiwa umefunga aidha, rim 15 inch basi ujazo wake wa upepo uwe vipi kutokana na Load na ukiwa umefunga rim 16 inch ujazo wake wa upepo uwe vipi kutokana na load.