Je inawezekana Ku-swap engine?

MODA

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
5
Reaction score
1
Mimi sio mtaalam sana wa ufundi wa magari ila ningependa kuuliza je inawezekana ku swap engine ya brevis ya 2jz na kuweka hata ya crown ya 4GR izi 2500cc.

Maana imekuwa hatari
 
Mimi sio mtaalam sana wa ufundi wa magari ila ningependa kuuliza je inawezekana ku swap engine ya brevis ya 2jz na kuweka hata ya crown ya 4GR izi 2500cc.

Maana imekuwa hatari
yes boss inawezekana lkn hapo sio kubadili engine tuu bali kuna vingi vya kubadili. engine , gearbox, control box, wiring pia lazima ucheze nayo ..toyota hazinaga kokoro sana..

kama utakuwa unahitaji kufanya hivyo waweza kutucheki 0627136700
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…