Nilianza shule nikiwa naitwa X nikasoma mpaka darasa la sita, nikafukuzwa shule, ilikua private na sikuweza pata uhamisho.
Nikaamia shule nyingine ndani ya wilaya hiyo iyo ya serikali lakini mkuu wa shule niliyohamia akadai siwezi endelea na jina langu la mwanzo ikabidi nibadili jina.
Lakini shida ni kwamba mzee wangu hakutilia maanani sana ilo suala ndo maana ilitokea ivo. Je msaada wa kisheria, naweza badili jina hilo maana liko kwenye vyeti vyote vya taaluma, nitumie lile la kwanza?