Yeah possible.Wakuu habari, ninapoishi umeme upo vizuri tu sema unakatika baadhi ya muda kwahy nahitaji backup system lkn sitaki kuingia gharama ya kununua solar panel nataka ninunue battery za solar, charge controller na inverter hapo nakua natumia umeme wa kawaida wa Tanesco kuchaji battery za sola.
Umeme ukikatika nitumie battery kupower accessory zangu na umeme ukirudi nichaji battery yani kiufupi ni kama power bank. Je huu mfumo unawezekana au una mapungufu gani?
Kama inawezekana niwe na battery yenye Ah ngapi Vitu ninavyohitaji kutumia umeme ukikatika ni feni, taa moja, kuchaji simu na desktop pc
Mwenyewe natafuta hili betriiiNgoja namimi niweke kambi hapa,pia nimesikia kuna betri zinazotumika kwenye minara yasimu nazo zipo vzr zinapatikana huko kariakoo zipo hadi za N500 ebu wajuzi watujuze
Mkuu inatumia muda gani kujaaMkuu inawezekana kabisa hata mimi natumia hivyo,nina battery 150Ah na inveter ambayo ina chaji battery umeme ukiwepo inajaza tena full kabisa,umeme ukikata kuna switch nabonyeza tu kwenye hyo hyo inverter naendelea kula maisha na smart tv inch 40..inverter nimenunua 50k ila kwa mjini nina uhakika haizidi 30k
Mkuu, inverter hii ni size gani? Inasukuma TV ya inch 40? Au una maanisha Charge controller?.inverter nimenunua 50k ila kwa mjini nina uhakika haizidi 30k
Betr za sola huwa znachajiwa kwa nguvu ya jua specifically.....so kwa sababu ya weather conditions za eneo flan huwa kuna variation of power in put....sasa inapokuja swala la kuchaj kwa umeme wa kawaida huwez kuchaj sku zma maana moto unaingia mfululizoo kwa kiwangoo sawa...kwa kifup mfano N50 unachaj masaa 4-5 uwe umetoa kwenye moto..Time rating ni kitu gani mkuu
Baada ya kuchaji mpaka inaisha kwa tv inachukua muda ganiMkuu inawezekana kabisa hata mimi natumia hivyo,nina battery 150Ah na inveter ambayo ina chaji battery umeme ukiwepo inajaza tena full kabisa,umeme ukikata kuna switch nabonyeza tu kwenye hyo hyo inverter naendelea kula maisha na smart tv inch 40..inverter nimenunua 50k ila kwa mjini nina uhakika haizidi 30k
Si kuna charger controller itakua inadisconnect battery ikishajaaBetr za sola huwa znachajiwa kwa nguvu ya jua specifically.....so kwa sababu ya weather conditions za eneo flan huwa kuna variation of power in put....sasa inapokuja swala la kuchaj kwa umeme wa kawaida huwez kuchaj sku zma maana moto unaingia mfululizoo kwa kiwangoo sawa...kwa kifup mfano N50 unachaj masaa 4-5 uwe umetoa kwenye moto..
Kwann unasema hiv mkuu ...Umeme wa solar upo overated