Je, inawezekana kuchaji battery za solar kwa umeme wa Tanesco?

Mkuu, kwani Inverter inabadili umeme kutoka AC to DC au DC to AC..?
 
Hapo nadhani kutahitajika some tinkering za hapa na pale nadhani to be on the safe side ni kununua battery charger mahususi kwa shughuli hio ingawa nina uhakika ukicheki online uneweza ukacheji some projects watu wanajitengenezea
 
Yes inawezekana kuna kifaa kinaitwa dc charger na ndicho nachokitumia nyumbani kwangu

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana kabisa! Kwa MDINGI kuna mabetri makubwaa ya kijeruamani , yanachajiwa na umeme wa Tanesco.

Umeme ukikata kuna kuwa hakuna supply kwenye wall switches , na uwezi uka'notice kama umeme umekata, hadi ujaribu kuchaji kitu au kuwasha gadgets kama Tv and tge rest.
 
Inawezekana fata maelezo aya ninayo kupa

Vitu unavyo takiwa kuwa navyo
1.bettry 12v,24v
2,AC to DC inverter iwe input 220ac
utput 18dcV kwa jili ya kuchaji bettrt ya volt 12
Na 30dcV kwa ajili ya kichaji bettry ya volt 24
3.12v dc na 24v dc inverter kwa ajili ya kubadili umeme wa dc kwenda ac


NB:- kuna inverter sasa ivi zina uwezo wa kufny kazi zote mbili kwa wakati mmoja yani kuchaji bettry na pia kubadili kwnd ac


NJIA RAHISI NUNUWA (UPS) KIREFU NI UNIT POWER SUPPLY HII INATUMIKA KWENYE MAOFISI ATA UMEME UKIKATIKA UONI KAMA UMEKATIKA ILI KULINDA KAZI ZAO KAMA DATA KUPOTEA IWAPO UMEME UKIKATIKA KAMA UTAKUWA NA MASWALI ZAIDI UTAULIZA NITAJIBU KADLI NAVYO WEZA
 

Inverter yako ina watts ngapi
 
Mkuu, nikishaunganisha inverter (AC - DV) ili kupeleka umeme kwenye Betri, ninaweza kutumia charging controller ili niweze kujua kama Betri imejaa au lah..?
 

Msihofu tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inverter inaweza kufanya hiyo kazi bila wasiwasi
I
 
AC to DC inverter input 220acV
Output 18dcV charger, Nitajuaje kama hii chaja inaweza kuchaji battery kwa mfano ya 100Ah mana kama solar panels inakuwa rated in watts kwahy inakuwa rahisi kujua mfano solar ya 200W inaweza chaji battery ya 100Ah na ikajaa
 

Mkuu mm natumia 300W kuchajia 150Ah,kabla ya hapo nilikuwa nachajia 200Ah.
 
Naona hapa Kuna wazoefu mm Kwa upande wangu nahitaji mfumo wa backup unaweza kuoparate masaa 24 Kwa tv inch 50, music system ya watt 1000 na taa za mezani kama 5 hivyo naomba kujua ninunue betri zenye uwezo Gani pamoja na vitu vingine .
 
Naona hapa Kuna wazoefu mm Kwa upande wangu nahitaji mfumo wa backup unaweza kuoparate masaa 24 Kwa tv inch 50, music system ya watt 1000 na taa za mezani kama 5 hivyo naomba kujua ninunue betri zenye uwezo Gani pamoja na vitu vingine .
Ni PM Mkuu au WhatApp +255 769455701
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…