Je, Inawezekana Kuendelezwa Kielimu Jeshini?

calmdowndear

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
605
Reaction score
274
NIna ndugu yangu kamaliza chuo kikuu na ana degree 1 umri wake ni miaka 23 anataka jiunga na jeshi

Je jeshi wanasomesha watu kufanya Masters?

Vikosi/Vitengo vipi vya jeshi ni bora kujiung navyo ili apate nafasi ya kupanda cheo?
 
Bora nichome chips, na digrii yangu kuliko kwenda huko hela ipo sawa ila hautakuja ionea raha yake ng'oo
 
Amemaliza degree ya kitu gani?
Jeshi kwa sasa wanalack watu wa afya sana sana na uhandisi,kilimo,urubani na lojistiksi

Kujiendeleza jeshini sio' pie' itategemea na uhitaji wa jeshi kwa wakati huo lakini pale makao kuna mafaili lukuki ya watu wanaotaka kujiendeleza

Ataanza na National Service,then akibahatika usaili ataenda JW..then atafanya usaili achague kwenda TMA akasomee uofficer,ambao mimi binafsi naona ndio penye 'shumbwela' sana

Mimi sio mwanajeshi,I stand to be corrected!!

Pamoja mkuu
 
Bora nichome chips, na digrii yangu kuliko kwenda huko hela ipo sawa ila hautakuja ionea raha yake ng'oo

Mkuu hii kazi ni ya 'Iron Boys',sio kila mtu anaweza.Wakati wewe unaona taabu sana kuna watu wanahangaika sana wapate kwenda huko

Mimi na wewe tuendelee kulijenga taifa kivingine,tuwaachie wanaoweza

Kazi za jeshi morali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…