Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 515
- 476
Kuuliza si ujinga,
Kuna gari moja ya home ilikuwa na radio yake ya sony kwa bahati mbaya radio ile ni kama tuliuziwa mbuzi kwenye gunia ilipata damage...
Point yangu iko hapa kwenye radio hizi zinazofungwa kwenye bodaboda je unaweza kuifunga kwenye gari(Suzuki escudo) wakati nikisubir mfuko ukae vzr kwaajili ya radio mpya...
Vipimo vya umeme vikoje?
Nawasilisha.