Mkuu ndio hivyo, unakula sound ya ukweli ,unajazia na tweeter zako mbili za semton. Si lazima ukachukua redio ya laki3 dukani. Tena hizo sub kuna ambazo zina bluetooth, unaweza kula ngoma zako kwenye ndinga kwa kupay nyimbo zako kwenye simu tu mkuuMkuu umenifanyia kitu cha suprise... Ngoja nijichange... Shukran sana.
Sasa power itakuwa unaipataje yani? Unaichomeka wapi?Mkuu ndio hivyo, unakula sound ya ukweli ,unajazia na tweeter zako mbili za semton. Si lazima ukachukua redio ya laki3 dukani. Tena hizo sub kuna ambazo zina bluetooth, unaweza kula ngoma zako kwenye ndinga kwa kupay nyimbo zako kwenye simu tu mkuu
Zipo terminal za kuingizia 12v kwa nyumaSasa power itakuwa unaipataje yani? Unaichomeka wapi?
Kwenye gari gani maana yangu hainaZipo terminal za kuingizia 12v kwa nyuma