Je, inawezekana kuhama kituo cha kazi toka Taasisi ya Umma kwenda Halmashauri?

Je, inawezekana kuhama kituo cha kazi toka Taasisi ya Umma kwenda Halmashauri?

Sumu ya nyigu

Member
Joined
May 18, 2019
Posts
60
Reaction score
111
Habari wakuu,

Naomba kuuliza, hivi inawezekana kuhama kutoka taasisi ya umma kwenda Halmashauri? If no, why? If yes mchakato wake ukoje?

Naomba kuwasilisha.

Ahsante
 
Yes. Eg lecturers wanahamishia halmashauri wasipofikisha grades kweny masters au PhD pia ukiwa hauna progress
 
Yaani unataka utoke huko kuliko kafanye kazi Halmashauri?

You must be completely crazy
 
Back
Top Bottom