Ww ke au meNilipima wiki mbili zilizopita nilikua negative ila sasa wakasema majibu ya uhakika ni baada ya miez mitatu sasa naona mbali na ndio kwanza nimemaliza mwez sasa nashindwa kiaminibmajibu ya mara ya kwanza
Ok usisahau kuleta mrejeshoNgoja itabidi niende wiki ijayo maana wiki hii sina muda kabisa nashukuru kwa ushauri
Itakuwa umeshaukwaa,wahi Angaza tu mkuuNilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
Mi ni mwanaume !Mbona wadau wote wanajibu wakilenga mleta uzi ni me? Labda ke jamani... Angesema jinsia yake mkuu Odbg amefanya vyema kuuliza hili swali
Baada ya kusikia tetesi nilienda kupima nae na akaonekana anaoHuu ugonjwa unaitwa [emoji117] NYEGE ni ugonjwa mbaya sana unaoliangamiza taifa kwa sasa... Wakati ukisubiri miezi miwili iliyobaki nakushauri ujiandae kisaikolojia kuyapokea majibu
Ila nijibu kaswali haka ulijuaje kama ni mwathirika na ukaenda bila gwanda???
Sometime tuwe seriuosUkifanya kimya kimya bla kelele hupati maana vvu watakuwa wamelala!
ya nini kuhangaikia majibu ya jf?nenda vct ukapime then ukweli utakuweka huru,pia ukikuta umeathirika soma wagalatia 6:7.Nilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
Walisema hivyo wengi naona na ww pressure inakusukuma unene yaliyo nje ya uwezo wako.Jamani muwe makini mimi nikinusurika na hili janga ndio naacha kabisa mapenzi! Ni bora nipige nyeto