Je,inawezekana kujuwa kama shahawa zako zinaweza rutubisha bila kwenda hospitali?

Je,inawezekana kujuwa kama shahawa zako zinaweza rutubisha bila kwenda hospitali?

Jaribu kua na mmea kama vile mchicha otesha ktk kopo au tafutia bustan. Mwagia mbegu zako mara mbili kwa siku halafu angalia ustawi na unawiri wa mmea husika.
 
jaribu kumrutubisha mtu ndiyo utagunduwa, vipi kwani zinatoka chache sana?. Shahawa lazima ziwe nyingi na nzito nzito.
 
Unahitaji kuwaona Wataalamu katika idara hiyo.
 
Back
Top Bottom