Weza
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 118
- 76
Habarini wapendwa Doctors na wakemia,
Napenda kujua je inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae babaake ameshafariki ili kujua ni kweli aliekufa ni baba halisi pindi mtoto anapoletwa na mama ambae anadai alizaa na marehemu alipokua hai. Je, ni ndugu yupi anaweza kufanya hivyo vipimo?
Je, ni bei gani ina cost kwa maabara ya Taifa?
Je, ukiachana na Nationa lab ni wapi pengine DNA inaweza fanyika na ni bei gani?
Je, inachukua muda gani kupata majibu ya hiyo DNA?
Na je kwanini inasemekana dada wa marehemu ndo anatakiwa kwenda kwenye vipimo na kwanini sio kaka wa damu wa marehemu tofauti ni ipi kati ya dada na kaka kwenye DNA?
Nahitaji sana msaada wenu maana baada ya muda mrefu kupita tokea kaka afariki walijitokeza wa mama kama wa tatu kila mtu kwa wakati wake, ambao wameleta watoto na kudai ni wa marehemu na familia haijui chochote please naomba msaada ili familia ijiridhishe na kujua lakufanya.
Natanguliza shukrani zangu wapendwa wangu🙏