Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

Mmezika marehemu mwenye sifa ya,UKICHECHE.
 
Mmezika marehemu mwenye sifa ya,UKICHECHE.
Sio jibu nililokua nalihitaji, na tulizika kitambo sio tumezika, ndo maana nimeuliza wataalam yaani wenye uelewa wa DNA na sio wataalam wa mipasho, hata kama alikua kicheche haikuhusu atleast kaacha watoto hakutoa pesa watolewe, we pita tu kushoto hujui nilichouliza jombaa
 
Na je kwanini inasemekana dada wa marehemu ndo anatakiwa kwenda kwenye vipimo na kwanini sio kaka wa damu wa marehemu tofauti ni ipi kati ya dada na kaka kwenye DNA?
Hakuna sababu yoyote ya kisayansi. Kama kipimo kipo inabidi watoto wote waliozaliwa na mama mmoja na marehemu wakapime.
Walio na ndoa, watoto ni wa baba mwenye ndoa, kwa sheria za Tanzania. Maneno ya mitaani yanadai hata DNA za Tanzania majibu huja mtoto ni wa baba kwenye ndoa. Kwa hiyo iwapo hao akina mama walikuwa kwenye ndoa wakati watoto wanazaliwa, basi hao watoto siyo wa ndugu yenu. Itakuwa huyo kaka yenu kaacha mali nyingi, vultures wanajitokeza out of wood. Hamuhitaji DNA. Mnahitaji walete cheti cha kuzaliwa watoto, na ushahidi kwamba kaka yenu aliwatambua hao watoto kwamba ni kwake.

Tafakarini kuweka mwanasheria.
 
Kama yupo Kaka wa Marehemu unawea kupima na huyo aliyefiwa na baba na itaonyesha ni kweli damu yao au sio damu yao. Usimpime dada wa Marehemu.
 
Tafuteni mali zenu nyie ndo ndugu mnaibuka baada ya ndugu yenu kufa DNA za nini gaweni mali kwa watoto wa marehemu mkikuta POSITIVE hamuoni kuwa mnatengeneza bifu na watoto wa marehemu.HEBU TOENI BANGI ZENU NANI ALIWATUMA MSITAFUTE MALI ZENU
 
Sasa kama watoto wapo mikoa tofauti na sisi, tuna enda kwa afisa maendeleo yupi rafiki
Suala la kupima pia lazima kuwe na consent ya hao wazazi wa watoto tofauti na hapo haiwezi kufanyika.

Ila naamini kwenye mambo ya kifamilia kuna mtu ambaye anakuwa msiri wako. Hata ukifanya rough yupo ambaye utamwambia. Sasa kama kwenye familia hakuna hata mmoja aliyekuwa anajua basi huenda hata marehemu alikuwa hajui may be hao wanawake waliamua kumficha ili waendelee na maisha yao.

Ila kama familia mnaweza mkaa chini na hao wazazi mkaongea nao kwamba watoto ni baraka,, na ninyi hamna shida yoyote kuwapokea bali hakuna hata mmoja kwenye familia aliyekuwa anajua wala wakati marehemu yuko hai hakuwahi kuwadokeza hilo.

Hivyo ili kuwapa watoto haki za msingi haki ya kujua familia yake tunaomba vipimo vya DNA vifanyike hawawezi kukataa.
 
Sas wew unauwakika gani kuwa yule marehemu Ni ndgu ako kbsaa DNA wakit mwingine si zakuamini mnk pengeine at wee huna vinasaba na Kaka ako ndio majibu yaweza ya[emoji6]siwe kweli
 
Dada hiyo mambo ya DNA huku kwetu bado hayajawa vizuri japo unaweza kufanikisha ukikaza buti ILA
nakushauri kama mnajiweza muwalee hao watoto;
Watoto wa kuletewa maana yake ni kuwa wahusika hawana uwezo wa kuwalea na nyie mkiwalea bila kuwabagua kwa asilimia kubwa huishia kuwa wakombozi wa familia kuliko hata watoto wenu wa kuwazaa. Fanya uchunguzi polepole utagundua kitu...
 

It’s Simple

Wachukuen hao watoto watatu chukuen sample za wote watatu then uezekano wa kua ni ndugu matokeo ynaweza kua 25% it means they are half siblings wameshea baba km mmoja wao atakua 0 bac hahusian na hao wnaweza kua wawil wanahusiana au wote watatu au mmoja tu ila kama watakua wanasema ukwel bac results zitaonesha kua kweli ni siblings

Then
kama kuna kitana chenye nywele za marehemu msuak vinaweza kufaa kuwafnyia DNA hao watatu kama hakuna bac chukuen ndugu yake marehemu, mzaz wake, kaka yake aunt yake kama marehemu ameacha mtoto bibi uncle
 
Asante sana my dear, kwa kwa maelezo yako, so you mean baba wa marehem pia anaweza kurumika kwenye DNA right?
 
Sas wew unauwakika gani kuwa yule marehemu Ni ndgu ako kbsaa DNA wakit mwingine si zakuamini mnk pengeine at wee huna vinasaba na Kaka ako ndio majibu yaweza ya[emoji6]siwe kweli
Mimi nina uhakika ni kakaangu, mamaangu aliolewa na baba mmoja na mume anaemjua ni babaangu pekeake
 
 
Ofcoz hatuwezi fanya bila their consent, na wao ndo wamesisitiza tulivyowagusia na mama mmoja anatukumbushia tumefukia wapi swala la DNA
 
Tafuteni mali zenu nyie ndo ndugu mnaibuka baada ya ndugu yenu kufa DNA za nini gaweni mali kwa watoto wa marehemu mkikuta POSITIVE hamuoni kuwa mnatengeneza bifu na watoto wa marehemu.HEBU TOENI BANGI ZENU NANI ALIWATUMA MSITAFUTE MALI ZENU
Jaribu kusoma nilichoandika uelewe na sio unaingia OP tu , nani kaongelea mali hapa na kama ni issue ya mali kwanini niilete kwenye jukwaa la Dr. Si ningeenda jukwaa jingine la kisheria, mali za kakaangu zilienda kwa familia yake, sisi zinatuhusu nini tena hali ni za mke na wanae, nani anahitaji mali na nani kakwambia hatuna mali zetu, wewe unapoletewa watoto unaambiwa ni wa ndugu yenu aliekufa miaka kadhaa ilopita na watoto ni wakubwa na hukuwahi kuwaskia ungekua wewe ungefanyaje unapokea tu hao watoto bila kusita? Tena we ndo bangi kabisaa ungewafuukuza wewe, na nani kakwambia hao wa mama wanahitaji mali, wacha wanaojua na wenye utaalam wa kitu nilichouliza wanijibu aisee, na nime specifie kabisa ma Dr. Wakemia na wenye kujua wanisaidie so if you know nothing, kindly keep your negativity away from serious threads.
 
Kama yupo Kaka wa Marehemu unawea kupima na huyo aliyefiwa na baba na itaonyesha ni kweli damu yao au sio damu yao. Usimpime dada wa Marehemu.
Ok thank you my dear dry root😀 hebu niambie kwanini dada wa marehemu hawezi kupima? Kuna mtu alisema eti dada wa damu ndo anatakiwa kupima na si kaka, nielewesheni guys
 
Duh kiukweli mpaka nimeuliza yaani we are so confused, kwanini hawakusema muda wote huo na mke wa ndoa hajui halafu wawili wameolewa wakiwa na watoto mmoja akiwa na mimba mmh hatari kwakweli na ni wakubwa kuliko mapacha alopata kwa ndoa
 
Thank you my dear, that is all i want to know ili tujiridhishe tu maana hata watoto kunajinsi wamekua kama wamechanganywa
 
Duh kiukweli mpaka nimeuliza yaani we are so confused, kwanini hawakusema muda wote huo na mke wa ndoa hajui halafu wawili wameolewa wakiwa na watoto mmoja akiwa na mimba mmh hatari kwakweli na ni wakubwa kuliko mapacha alopata kwa ndoa
Nendeni mkawapime pamoja na watoto Wa Ndoa plus baba mzazi Wa Marehemu. Kama wana unasaba, basi chance za DNA kumatch % ni kubwa..
 
Mleeni mtoto, hamuwezi kujua baadae atakuwa nani, pia mtabarikiwa hata kama si wakwenu.

Kuna Makabila pia hawaruhusu KABISA kupima watoto DNA, kwasababu ukigundua sio wa kwenu ukamtelekeza itakuwa laana kwenu

Mleeni mtoto, kwani anakula kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…