Kuna watu wanasema ya kwamba, Spika na Naibu wake wachukue hatua za kisheria dhidi ya viongozi wa CHADEMA kwa kutoa namba za viongozi hao wa Bunge, jambo lililopelekea viongozi hao wa Bunge kukashiwa kwa ujumbe mfupi pia kwa kupigiwa simu.
Naomba kujua, kwa mujibu wa kanuni za usiri (privacy) za TCRA au makampuni ya simu, je inawezekana kumshtaki mtu kwa kutoa mawasiliano ya mtu (kama namba za simu, e-mail n.k) mwingine?