Sure!! Inawezekana kabisa!!rejea haki ya raia ndani ya bunge,bunge ni chombo cha kusimamia haki za raia,kila kinachofanyika ndani ya bunge ni kwa maslahi ya raia(umma)hivyo umma unahusika moja kwa moja na kila kinachoendelea huko bungeni,sasa je ni kosa kwa mwajiri kuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na mtumishi wake? Kosa linaweza kuwa ni matumizi ya mawasiliano mliyonayo,kosa si kuwa na mawasiliano,kuna mahali nimekosea,hebu niweke sawa.