Je inawezekana kusajili kampuni ambayo itakuwa na jina moja tu lakini ikawa inajishughulisha na biashara mbalimbali au biashara zaidi ya moja kwa wakati mmoja? mfano kampuni ikaitwa Selenga General Bussiness Limited halafu ikawa inajishughulisha na biashara ya stationaries, usafirishaji abiria, catering au restaurent services, intertainment nk kwa wakati mmoja.