Je inawezekana kusoma diploma HR na Bachelor kusoma Accounting ?

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
Naomba kujua kama itawezekana mwanafunzi wa diploma in Human resource kama ataweza kuchaguliwa na TCU akijaza accounting ??
 
Dah huyo aliyesoma DIPLOMA ya human resource ni mwanamke au mwanaume?
 
Kwa bahati mbaya hakuna chuo hata kimoja tz kilichojengwa ndan ya kata,vyuo vyote vinajengwa mkoan
 
Sua-kata ya mbuyuni
udom-kata ya makulu
jordan-kata ya kola hil
mum-kata ya modeko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…