Je inawezekana kutokea Tanzania?

TEMA

Member
Joined
Oct 1, 2007
Posts
27
Reaction score
0
Nigeria: FG Blacklists Siemens, Cancels Contract

Yap,

Hii inawezekana kabisa kutokea Tanzania.
Ni suala tu la kuamua. Itachukua muda ila kizazi hiki cha wazee wa ccm wa sasa kikitoka madarakani, then next generation should get the monkey off the back!
 
Kizazi cha wapenda rushwa, wenye uroho wa utajiri wa haraka haraka, mafisadi na wenye kupenda kulindana. Je kitaondoka kweli maana sasa hivi wameshaanza kuwarithisha nyadhiha watoto wao, na mtoto wa paka siku zote hawezi kuwa panya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…