Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?

Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto.

Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
 
Yes inawezeana kabisa kwani kuwa mfanyakazi haimaniishi shughuliza nyumbani usifanye. Ni kujiwekea mfumo tu mzuri na kusaidiana ndani. Mbona wakati mtu upo single mambo yalikuwa poa tu. Muhimu kusaidiana ndani na kama umejipanga vizuri ukiwa na kamashine kako ka kufulia unakuwa umepunguza kero ya kufua inabakia kupika tu na ukiwa na mtungi wako wa gesi umemaliza hapo. maana fikiria unatoka asubuhi unarudi usiku.
 
Inawezekana vizuri tu labda wawe wanaishi eneo lenye changamoto ya wezi
 
Kichanga hawaruhusu makazini...
Mi wanangu wamekua sitaki hata binti....kuwaandaa asubuhi ni kazi ninayostahili kuwajibika
 
Mleta mada kaongelea ambao hawana watoto. Ila kwa wenye watoto hio haiwezekani. Maana hata akimpeleka daycare ya wanaochukua hata wa miezi bado watatoka kazini na uchovu,vikao na majukumu mbali mbali yatawabana
Vipi kuhusu mtoto mdogo ambae hajaanza shule?
 
Linawezekana kabisa
Kama kazi inakufanya ushindwe hata kusafisha nyumba ndani basi hiyo sio kazi tena bali utumwa
Unachoka kwa ajili ya kazi mpaka unashindwa hata kupika?

Kuna mambo mengine watu wanaendekeza tu
Ila kwa kufua labda mnaweza kuwa na mtu ambae anaweza kuja hata weekends kufua au mara 2 kwa wiki kama mnachafuka hivyo

Ila mengine yanawezekana bila mfanyakazi wa ndani
 
Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?

Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto.

Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
Mfanyakazi wa ndani ana kazi nyingi sio usafi na kupika tu!
 
Yes inawezeana kabisa kwani kuwa mfanyakazi haimaniishi shughuliza nyumbani usifanye. Ni kujiwekea mfumo tu mzuri na kusaidiana ndani. Mbona wakati mtu upo single mambo yalikuwa poa tu. Muhimu kusaidiana ndani na kama umejipanga vizuri ukiwa na kamashine kako ka kufulia unakuwa umepunguza kero ya kufua inabakia kupika tu na ukiwa na mtungi wako wa gesi umemaliza hapo. maana fikiria unatoka asubuhi unarudi usiku.
Mlinzi wa nyumba anakuwa nani mkiwa wote mko Kazini?
Mnafunga tu mlango na kuiacha nyumba haina mtu?

Labda uwe vijijini huko mijini utakuta nyumba kila kitu kimesombwa na hutakuwa na wa kumuuliza yeyote kuwa nani kabeba vitu vyako
 
Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?

Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto.

Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
Maswali ya namna hii uulizwa sana miezi ya Januari na Februari!!
 
Kuishiwa hela kubaya sana hapo utakuta mleta mada kaishiwa kamchachamalia mke kuwa housegirl wa nini ? Kumbe kayumba mfukoni hela za kulipa housegirl

Hasira zake za kuishiwa anasukumia housegirl kuwa hana umuhimu
 
Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?

Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto.

Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
Am practicing this,
sina dada wa kazi a month sasa,
watoto wameenda shule,
Mtoto mdogo tunamuandaa asbh anaend shule tunampitia saa 11 jioni tukiwa tunarudi kibaruani,
kufua ni kila moja just machine wash,
kupika kuna virahisishi, rice cook, microwave kwa ajili ya kupsha viporo, Deep flyer and air flyer
kunyosha nguo each ana practise!
inawezekana kabisa ni mind set tu!!
 
Wote mnaenda kazn mnakosaje hl ya kumlip dd siku hizi had makaka wapo Kwa mwanaum haina shida shida ataipata mama wanaume ss ni waviv ukichangany ten na kamfumo dume n balaa
 
Inawezekana vizuri tu labda wawe wanaishi eneo lenye changamoto ya wezi
True. maeneo mengi yana wasiowaaminifu wanapita asbh kama wauza chuma chakavu kumbe wanachora ratiba zenu. usipokaa sawa wanaleta fuso wanabeba kila kitu kama vitu vya kwao.
 
Huyo housegirl ndio anadouble kama mlinzi wa nyumba mnapokuwa hampo au mkisafiri kikazi au likizo. Umewaza hilo?
 
Back
Top Bottom