Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Yes inawezeana kabisa kwani kuwa mfanyakazi haimaniishi shughuliza nyumbani usifanye. Ni kujiwekea mfumo tu mzuri na kusaidiana ndani. Mbona wakati mtu upo single mambo yalikuwa poa tu. Muhimu kusaidiana ndani na kama umejipanga vizuri ukiwa na kamashine kako ka kufulia unakuwa umepunguza kero ya kufua inabakia kupika tu na ukiwa na mtungi wako wa gesi umemaliza hapo. maana fikiria unatoka asubuhi unarudi usiku.Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?
Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto.
Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
sawa kiongozi bila shaka upo na watoto auNi maamuzi yenu wenyewe, kila kitu ni sawa.
Mimi niko single ila natamani niwe na mfanyakazi.
Vipi kuhusu mtoto mdogo ambae hajaanza shule?Inawezekana vizuri tu labda wawe wanaishi eneo lenye changamoto ya wezi
Vipi kuhusu mtoto mdogo ambae hajaanza shule?
Niko completely single.sawa kiongozi bila shaka upo na watoto au
Mfanyakazi wa ndani ana kazi nyingi sio usafi na kupika tu!Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?
Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto.
Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
Mlinzi wa nyumba anakuwa nani mkiwa wote mko Kazini?Yes inawezeana kabisa kwani kuwa mfanyakazi haimaniishi shughuliza nyumbani usifanye. Ni kujiwekea mfumo tu mzuri na kusaidiana ndani. Mbona wakati mtu upo single mambo yalikuwa poa tu. Muhimu kusaidiana ndani na kama umejipanga vizuri ukiwa na kamashine kako ka kufulia unakuwa umepunguza kero ya kufua inabakia kupika tu na ukiwa na mtungi wako wa gesi umemaliza hapo. maana fikiria unatoka asubuhi unarudi usiku.
Maswali ya namna hii uulizwa sana miezi ya Januari na Februari!!Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?
Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto.
Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
Kuishiwa hela kubaya sana hapo utakuta mleta mada kaishiwa kamchachamalia mke kuwa housegirl wa nini ? Kumbe kayumba mfukoni hela za kulipa housegirlMaswali ya namna hii uulizwa sana miezi ya Januari na Februari!!
Am practicing this,Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?
Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto.
Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
True. maeneo mengi yana wasiowaaminifu wanapita asbh kama wauza chuma chakavu kumbe wanachora ratiba zenu. usipokaa sawa wanaleta fuso wanabeba kila kitu kama vitu vya kwao.Inawezekana vizuri tu labda wawe wanaishi eneo lenye changamoto ya wezi