Je, Inawezekana kwa mtu ambae sio raia wa Tanzania kumiliki Biashara Tanzania Bara?

Jorge WIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
3,567
Reaction score
5,323
Habari Wakuu,

Natumaini Mnaendelea salama na majukumu ya kila siku.

Hoja yangu ni kwamba,

Inawezekana Non-resident akawa na biashara hapa nchini kisheria,

Na kama ni Kampuni wanaweza wakafungua watu wawili yani Resident & Non-resident?

Ahsante, maelezo zaid ya hapo ntashukuru zaid.
 
Wale Raia kutoka China wanao choma maindi viunga vya Kariakoo ni Raia wa Tanzania? Au zile siyo biashara ni ngonjera?
 
Natumaini Mnaendelea salama na majukumu ya kila siku.

Hoja yangu ni kwamba,

Inawezekana Non-resident akawa na biashara hapa nchini kisheria,

1)Inawezekana kabisa

Na kama ni Kampuni wanaweza wakafungua watu wawili yani Resident & Non-resident?

2)Inawezekana na yenyewe

Ahsante, maelezo zaid ya hapo ntashukuru zaid.

3)Ila Kuna vitu unachanganya
 
Back
Top Bottom