Nadhani huo mjadala Deception ungeanza kwenye uzi mwingine... ili watu waweze kwenda nao vizuri...
Deception uko vizuri sana tunaomba tuanze Kwenye uzi mwingine! Cancer ime chukua shangazi zangu wa tatu na baba mkubwa, baba yangu amefight cancer hadi amerudi normal yaani cancer cells undetectable so hope to read more
Me pia nashauri huyu mkuu aanzishe uzi mwingine tofauti ili tuusome kwa utulivu kabisa! Jamaa yuko vizur aseee!! Unajua kansa ni tatizo ambalo mie hadi leo silielewi manake wengi wanaopigwa mionzi ndo wanakufa na nnaushahidi wa ndugu zangu wawili ambao walitibiwa kwa mionzi na hali yao ikawa nzuri kwa muda baadae mambo yalipobadilika ndo ikawa kwa heri
Me mwenyewe anko yangu ameded last week for this cancer
Deception i love youuuuu, ukianzisha uzi mwingine please nitag aiseeh
Sitaki sapoti ya yoyote tena naondoka kabisaa mr Deception
Madaktari kama mpo naomba mkaifanyie kazi hii elimu, maana pamoja na uwezo wenu lakini si haba mmevuna hapa. ......
Mkuu Deception Asante sana.
Tunashukuru sana kwa kutuelimisha usichoke mkuu deception,lakini kabla ya kuanza maelekezo juu ya kutibu cancer na kisukari ......
Deception,
Shukrani sana kwa kutuelimisha na tupo tayari kujifunza yale mengine uliyoyakusudia kuyatoa juu ya magonjwa mengine kama cancer, kisukari na kadhalika!
Mungu akupe afya na nguvu pamoja amani ya moyo wako!
Thanks kwa Elimu hii
Shukrani Deception.
Daah, aisee nashkuru sana DECEPTION,
kupitia elimu yako humu, nimewaelimisha watu wote kwenye familia, na hata marafiki wa karibu. Na nashkuru Mungu, wamenielewa na imewashangaza wengi..
Inafahamika kuwa mashoga ndio watumiaji wa madawa haya ya kulevya kwa wingi sanana kule Marekani walikuwa wanatumia mambo mengi sana ambayo ndio yaliyofanya kuonekana HIV+ na hili ni fact kabisa ....!!
Tuachane na hiv, walioelewa haya, ambao bado haya, the choice is yours. Twende kwa kisukari sasa na cancer. Coz haya yanaua sana kuliko hata hiv.
Asante Deception, kama hautajali tell us about yourself bila kureveal your ID. I sm impressed by the research you have done and your investing on sharing what you know with us. Umetoa muda, nguvu na pesa za kutosha kwa ajili ya hii, umevumilia matusi kejeli na majina yote ya duniani; why? What do you have to gain? Nina amini sio mimi peke yangu nina maswali hayo
ilo liko wazi na linajulikanika kuwa HIV huwa haileti vifo bali huwa inaleta upungufu wa kinga mwili kwajl yaku shambulia kinga za mwili....
Kama Hautojli, tunaomba utuelezee mengi zaidi., kama, kutibu cancer
, kisukari,
kutengeneza diesel kwa kutumia Bangi,
ukweli kuhusu glabalization na mambo ya joto duniani..
TUTASHKURU SANA ENDAPO UTATUSAIDIA, NADHANI NIMEWAWAKILISHA WENGI KWENYE HILI. ahsante
Nchi zote ulizotaja hapo juu zina masikini wakutupwa..fuatilia vizuri...
Kwanini Arvs zisitengenezwe watu watumie waishi wasiugue tena kama zina mantiki ya kuzuia uzalianaji wa virus .Dr.
nipoa nafatilia kwa umakini sana
Siamini kabisa kama kuna daktari aliye somea udaktari anaweza kusema kila mwenye TB basi ana virusi vya UKIMWI...!
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaa...........
kama nesi flani ivi!!
Ukimwi mkuu.
Thanks ..ntabadilisha huo mwandiko .. Nilkua naandika kama ivo ili niokoe mda
Nimekuwa msomaji tangu Uzi huu uanze, nimeshindwa kuvumilia hoja zako Mkuu kupe;
1.kwako wewe mtu mwenye akili timamu Yule? Je ni Yule anaendika au kusema kile masikio yako/macho yako yanakubaliana nacho, na kwamba akiandika kinyume na hivyo Basi akili zake zinakuwa sio timamu.
2. Unadai dunia iko wazi na unashauri asome na kufuatilia vitu,, nashawishika kuamini kuwa wewe uko na spirit hiyo ya kusoma na kufuatilia vitu, sasa hata hili la VVU hukulifuatilia kung'amua ukweli wake??
3. Nchi kuwapa au kutokuwapa wananchi wake ARV unamaanisha nn? Hivi kuna nchi isiyotoa ARV kwa hao wanaodaiwa kuwa na HIV v+, nijuze Mkuu.
4. Kuwepo kwa UKIMWI dunia nzima sio issue since UKIMWI upo karne na karne haukuanza Jana wala juz, unapouliza U_feki wa vipimo vya bongo nazid kukushangaa,, ni sawa na kusema hewa (Oksijeni) anayovuta mchina sio sawa na Ile anayovuta m_south Africa. Kipimo Feki Cha HIV kilichopo bongo na kwingineko ni kilekile provided kiko programmed kusoma kirus anaeitwa HIV na kirus hana nchi au hachagui wa kumuingia awe mmatumbi, mkongoman au mjapan.
5. Unaandika "Imani ya afya",,,, ni kitu gani hicho? kuna tofauti Kati ya kuamini na kujua,,angalia usije kuamini kisichokuwepo!!!
6. Wapi ilipoandikwa hataki kutumia condom? Soma taratibu akili ikiwa imetulia utaelewa tu Mkuu.