Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?


1.Wewe unaishi wapi?

2.Umejiaandaje kufidia muda nitakaoupoteza kufanya jambo hilo.

3.Ukishaniambia umejiandaa vipi kufidia muda nitakaopoteza kufanya jambo hilo halafu nikaridhika,basi utatafuta mtu ambaye wewe mwenyewe umemthibitisha ana HIV uje naye pale nitakapotaka mimi.Sawasawa?

4.Halafu tutasubiri miezi 3,sio 6 kama unavyotaka.Inaonekana bado hata hiyo mainstream theory ya HIV/AIDS hujaielewa.Tutasubiri miezi 3,sio 6.Umeelewa?

Haya nijibu hapo kwenye namba 2 kwanza.
 


Kwa maelekezo yako huko nyuma kuwa wewe upo na umejitolea kwa ajili ya kusaidia watu katika Tatizo FEKI hili walilo karirishwa....Sasa unapokuja na hoja za KUFIDIWA MUDA nashindwa kukuelewa ni katika ujanja wa kukwepa amma nini??
Mi nina kuhakikishia Katika Harakati zako ambazo mwenyewe umeamua kuzianzisha kwa ajili ya KUKOMBOA watu waliokaririshwa juu ya uwepo wa HIV na UKIMWI feki UKIKUBALI KUFANYA ninachokitaka UTARAHISHIA umma kuelewa zaidi kuliko hayo maandiko unayotupa.

Niambie ni muda au gharama gani zinahitajika kwako wewe kuingiziwa damu ya "MTU MWENYE UKIMWI FEKI"???

Mi sihitaji wewe unifata wala kuinunua Damu.....Mi tayari nina mgonjwa wangu na tayari kisharidhia kutolewa damu....na mimi ndio nitakufata wewe mpaka ulipo.
Na gharama zote za Syringe nw mengine ni zangu.

We kazi yako ni kuniambia upo wapi na saa ngapi tukutane......MI NIJE KUKUDUNGA.


Kama hili halitaki basi yupo ambaye ulishakubaliana nae huko nyuma naona ulikubaliana nae bila hivi vikwazo unavyonipa mimi basi mi naomba unipe mawasiliano yake......Mimi na yeye tuarrange hili jambo.

PENGINE KWANGU MIMI NDIO KUNA FIDIA basi tufanye kwa huyo uliyekubaliana nae BILA FIDIA.



NASISITIZA TUFUNGE VITABU NA YOTE TUJE KATIKA ULIMWENGU WA HAKIKA/UHALISIA
 

Tulishamaliza kwenye simu,ningeomba pia uje na huyo 'mgonjwa' ili nimpe ushauri nini cha kufanya.
 

Mkuu tuelezee hizo ARVs mtu anatakiwa aacheje
 
Sasa kama Deception ni mwongo ,mbona Ulaya hawaamini juu ya Hiv/ Aids? Mbona hawafi kama sisi Waafrika? Ukichunguza kwa kina huu Ukimwi ulivyo Deception yuko right. Madaktari acheni ubishi usio na kichwa wala miguu. Tembeeni mitaani kwa waathirika na washukiwa kuna mambo utajifunza kuhusu uongo juu ya Hiv.
 
mkuu @Deception ulishawahi kwenda hospital ukaona waathirika wa Huo ugonjwa? maana kama umewahi ona huwezi sema HIV/AIDS ni uongo. watu wanateseka vitandani kwa huo ugonjwa.
 
Kulikuwa na Daktari mmoja pale Muhimbili alisema yeye binafsi hawezi kupima HIV.
Ukweli kwa wakati ule sikumuelewa.Binafsi nikahitimisha kwamba anaogopa sababu ni mchezaji maarufu wa mechi za ugenini bila viatu.
Lakini baada ya kupitia uzi huu na machapisho tofauti yahusuyo HIV na wakubwa wa Dunia. Nikahisi kwamba yule Daktari anajua kilicho nyuma ya pazia kuhusu HIV,ila hakutaka kusema ukweli kutokana sheria za kazi yake.
 
Last edited:
inakuwaje sasa mtu anayesemekana ni mwathirika anapokuwa hatumii arv hufa mapema?nini kinachomuua?
 
soma kuhusu virus vnavyosababisha upungufu wa kinga mwili ,,hasa type D na G tabia zake utaelewa nn maana yake no need ya kubishana.
 
. Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya ugonjwa huo wanayodai ni uhakika.
Kwa kutumia damu ya kupandikiza kutoka kwenye kitovu mwana (umbilical cord) cha mtu ambaye ana vinasaba ambavyo havipokei virusi hivyo vya Ukimwi, wataalamu hao wa tiba wa Hispania wanaamini kuwa wanaweza kutibu ugonjwa huo baada ya mafanikio waliyopata kwa mgonjwa mmoja.
Madaktari hao wa Kitengo cha Taifa cha Upandikizaji (ONT) cha Hispania walichukua damu ya vitovu mwana vya watu wenye vinasaba ambavyo havipokei VVU na kuipandikiza kwa mtu anayeishi na virusi hivyo. Baada ya miezi mitatu, mgonjwa huyo alipimwa na kuonekana hana virusi.
Daktari wa Programu ya Upandikizaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Catalan, Barcelona, Rafael Duarte alisema mgonjwa aliyetibiwa kwa njia hiyo, Timothy Brown (37), alikuwa anaishi na VVU tangu mwaka 2009 na madaktari hao walithibitisha kuwa amepona baada ya kupandikizwa damu hiyo. Mgonjwa mwingine aliyefanyiwa majaribio ya tiba hiyo alipona VVU, lakini miaka mitatu baadaye alifariki kwa ugonjwa wa saratani.
Timu ya madaktari wa Hispania ililiambia gazeti la kila siku nchini humo la El Mundo kuwa wana uhakika kuwa wameleta mapinduzi katika mapambano ya Ukimwi na magonjwa yanayofanana na hayo.
Dk Duarte alisema mwaka 2015 umekuwa wa kujivunia ugunduzi huo mkubwa duniani, ingawa alitahadharisha kuwa tiba kamili haiwezi kupatikana katika siku za usoni.
Kaimu mkurugenzi wa mwitikio wa Taifa wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids), Dk Morris Lekule alisema utafiti kama huo hauna budi kufuata taratibu zote na kuthibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kabla ya kutangazwa kuwa ni tiba sahihi.
“Kila mara taarifa zinakuja zikisema tiba ya Ukimwi imepatikana, lakini tiba kupata uthibitisho kwamba ni sahihi, ni mchakato mrefu unaotakiwa kuhakikisha kama kweli dawa hiyo inatibu na ni lazima WHO wathibitishe hilo,” alisema. Alisema ni vizuri kama wataalamu hao wakapata uhakika kutoka WHO badala ya kuwapa watu matumaini kuwa kuna tiba na baadaye matumaini hayo yanapotea.
Daktari wa kitengo kinachoshughulika na masuala ya Ukimwi cha WHO, Richard Banda alisema hana taarifa za tiba hiyo.
Tiba inavyofanya kazi
Madaktari wa ONT walitumia damu ya mtu mwenye vinasaba vya ‘CCR5Delta’ ambavyo seli zake haziathiriwi na virusi hivyo vya Ukimwi.
Dk Duarte alisema kwanza huziua seli za damu ya mgonjwa kwa kutumia mionzi halafu seli mpya (kutoka kwenye damu ya mtu mwenye seli zisizoathiriwa na VVU hupandikizwa.
Damu hiyo ilipandikizwa kwa mgonjwa mwenye virusi hivyo na saratani ya damu.
Baada ya seli hizo kupandikizwa, Virusi vya Ukimwi vilivyo kwenye damu ya mgonjwa hushindwa kujipenyeza katika seli mpya zilizopandikizwa. “Siku 11 baada ya upandikizaji, mgonjwa wa Barcelona alianza kupata nafuu na baada ya miezi mitatu, tulimpima na kukuta hana VVU,” alisema.
 
na hao wanaojiita WHO ndo wabaya kabisa na usitegemee kbs kuwa watapitisha hiyo tiba
 

!
!
Uwezekano upo, tena mkubwa tu sana. Kupata virusi vya hiv ni lazima kuwe na mwingiliano wa kidamu na muathirika. Kwamba damu yenye virusi ilitoka kwa ei kwenda kwa bii. Hii naliongea from personal experience. Ukihitaji zaidi just ask ila habari ndio hiyo. Kupata ukimwi ni shughuli nzito mno.
 
Mkuu,vipi kuhusu mbadilishano wa manii,maana si wote mtafika kileleni kwa maana ya wote kutoa semen
virus havipiti kwe tundu la zakali yako vyenyewe huvizia mchubuko tu.hapo fasta mkuu vinazama.
 
Mkuu what I can assure you is that all fluids in human body is AIDS career. The most important thing is that make sure you know the difference between AIDS and HIV may be that can help to understant what I meant.
ongea kiswahili wewe acha sifa za kina iwwe[emoji23]
 
Mkuu kama ni personal experience hebu tujuze zaidi kwani ilikuwaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…