Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Mbona shuhuda ziko kedekede, umsesoma huu uzi toka mwanzo?
He hee,unafikiri hata ukimpatia huo ushuhuda ataelewa?Atakuwa ameuliza kwa kutaka kuhifurahisha tu,kama angetaka kujua ukweli angetumia njia nyingine,njia zipo nyingi tu za kuupata ukweli.Mwenye kutaka kujua ukweli utamjua tu,huyo hana nia ya kujua.
 
He hee,unafikiri hata ukimpatia huo ushuhuda ataelewa?Atakuwa ameuliza kwa kutaka kuhifurahisha tu,kama angetaka kujua ukweli angetumia njia nyingine,njia zipo nyingi tu za kuupata ukweli.Mwenye kutaka kujua ukweli utamjua tu,huyo hana nia ya kujua.
Mkuu deception mi nimeanza kukuelewa, maana nimekuwa nafatilia mada zako,sasa HIV inaonyesha ni kitu fulani kwenye protini za mwili huwa kinapungua? Au nini hasa kinachopelekea mtu kuugua huo ugonjwa? Je madaktari huwa wana pima nini hasa kugundua kuwa mtu huyu ana huo ugonjwa? Kama vipimo halisi aina microscope hazitumiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He hee,unafikiri hata ukimpatia huo ushuhuda ataelewa?Atakuwa ameuliza kwa kutaka kuhifurahisha tu,kama angetaka kujua ukweli angetumia njia nyingine,njia zipo nyingi tu za kuupata ukweli.Mwenye kutaka kujua ukweli utamjua tu,huyo hana nia ya kujua.
Uzi upo since 2013, leo ni 2017, still bado wanauliza. Mkuu unaweza kuwa sahihi kabisa huyo hataki kujua ukweli.
 
Pitia uzi wote mwanzo mpaka mwisho utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye nimemaliza kuusoma uzi wote na nimeeelewa kilichomo ndani ,,,
Nashukuru kwa elimu hii yote ila inatupasa tuwe wadadisi wa mambo jamani na tusiwe tunaegemea upande wowote kama hatujui kinachoendelea asante sasa nahamia kwenye uzi wake wa cancer naamini nitausoma na kuuelewa vizuri.
 
Reactions: Mzz
waswahili wanasema asiejua maana usimwambie maana,maana hayuko kuikubali hiyo maana.nimesoma yote but nimestack mahali nahitaji msaada wako..nmeshakuPM
 
 
Habari! Mada km iyo imewah kuwasilishwa na mdau mmoja na nilipata nafasi ya kuchangia kwa nnachokijua juu maambukizi ya VVU. Nmeona post ako ikabidi ni attach kile nilicho comment kwa uyo mdau nafkr ukipitia utapata chochote na comment angu kwa mdau uyo ilikua km ifuatavyo:

"Pole mkuu kwa hofu uliyonayo mpaka sasa. Kufanya mapenzi na +ve partner c lazma kupata maambukizi. Unaweza fanya ngono zembe km ilvyokutokea na uyo +ve partner lakini usipate maambukizi japo ni hatari. Inaonekana ni miezi mitatu since then naumecheki huna, iyo inawezekana kabisa kwani kuna watu unakuta anaishi na mke au mme aliyeathirika bila kujua then unakuta mtu hapati maambukizi, japo hutokea mara chache. Kwa post yako si ajabu kusema kwamba umepima huna, inawezekana kabisa kuwa hukupata, kuondoa stress zaidi kacheki tena this month katikati au next month.

Ondoa hofu ulifanya kosa usirudie tena huo uzembe wa ngono zembe, trust no one mkuu, machoni vinavutia sanaa ila ndani ni fumbo! Si kushauri ufanye uzinzi mkuu, zingatia maadili ya dini ako na uwe na hofu na Mungu wako. Na km basi umeoa au una mchumba basi ni vizuri mkajua afya zenu mara kwa mara na kufanya safe sex na kuwa waaminifu.

Maambukizi hutokana na mchubuko au michubuka wakati wa tendo, na iwapo ikatokea kuwa mmoja ni +ve basi kutokana na iyo michubuko ni dhahiri kwamba mtu hupata maambukizi.
Watu wengi hasa wanaume hutegemae kuona damu ndo aamini kuwa amepata mchubuko/michubuko tofauti na kwa wanawake ambao uwa ni rahisi kupata michubuko ambayo uambatana na damu. Michubuko iyo hasa kwa wanaume uwa ni midogo sana sana kitaalamu wanasema ni very micro-scopic ikimaanisha kwamba si rahisi kuiona kwa macho lakini kutokana na iyo michubuko na udogo wake uweza kusababisha maambukizi.

Note: Maambukizi yatatokea iwapo pande zote mbili zmepata michubuko na iwapo mmojawapo ni +ve.
Bila michubuko iyo na upande mmoja ukiwa +ve huwezi kupata maambukizi.
Hivyo basi inawezekana kabisa tena kabisa kufanya mapenzi na mtu ambae ni +ve na usipate maambukizi.


Je, kwa mwanaume mwenye roho ngumu na asiye weka mbele afya yake kwanza anayefanya ngono zembe bila kinga, atajuaje km amepata michubuko/mchubuko wakati wa tendo? Ni rahisi sana, baada ya tendo nenda faragha umwagie maji uume wako na kisha uupake chumvi iliyosagwa vizuri (ni vyema ukafanya ivo ndani ya dakka 15 after sex). Je, ni nini kitatokea? Iwapo utasikia kuwashwa na iyo chumvi ni dhahiri kwamba utakua umepata mchubuko/michubuko,..ivo km partner wako nae alipata michubuko na akawa +ve ni dhahiri kwamba utakua umepata maambukizi. Iwapo hutasikia muwasho wowote ni dhahiri kwamba utakua hujapata mchubuko/michubuko yoyote hivyo hakutakuwa na maambukizi ya VVU.

Note: Lakini kwanini ujitese kufanya yote haya? Fanya ngono salama na zingatia maadili ya dini yako.
Nisikaririwe vibaya wakuu, najaribu kueleza ninachokijua juu ya suala hili na si kwamba nashauri au kushawishi watu wafanye ngono, si dhamira yangu dhamira yangu ni kuelimisha tuu.


Naomba radhi, kwa yeyote nitakayekuwa nimemkwaza kwa niliyoyaeleze au kuyaandika au kwa maneno niliyoyatumia, naomba radhi kwa hilo.

Hivyo basi, kwa mkuu aliyeuliza swali inawezekana kabisa kuwa hukupata maambukizi na itakua vzuri ukichek tena next month ukiambiwa kuwa still -ve usishangae kwani ni kawaida. Naamini utakua umenipata mkuu, uko vizuri ondoa shaka. Tujitahidi kuwa makini mkuu na kuepukana na vishawishi vya uzinzi, pia tuzingatie maadili ya dini zetu na kwa wanandoa tuwe waaminifu na kupima afya zetu mara kwa mara hivyo hivyo na kwawachumba, pia tuzingatie ushauri wa wataalamu husasni wakati tukikutana na wenza wetu.

Ewe kaka, ewe dada, ewe mwanamke, ewe mwanaume usimwamini mtu yeyote kwa kumtazama kwa nje, kwani nje tunavutia na kupendeza sana lakini ndani ni fumbo, usimwamini mtu njia sahihi mkapime au kufata njia za kitaalamu.

"Trust no one, for trust will kill you" - An HIV free generation, it's possible and it begins with You and Me".

Asanteni sana,...Thank You!
 
Asante kwa taharifa, tulioelewa mada hii tunafuraha sana tumejua ukweli. Ngoja watakao kuelewa wanakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4rr


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…