Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

We jamaa unahangaika sana na dawa yako hiyo..insta ndo unatapa tapa balaa, kila post ya mtu maarufu hukosi na matangazo yako ya formula.
 
Kwa mwanaume inawezekana kama hatakuwa na michubuko na pia watatumia vilainishi au mwanamke ataandaliwa vya kutosha na kulainika ika kwa mwanamke ni ngumu sababu ya maumbile yake.
 
Mkuu,vipi kuhusu mbadilishano wa manii,maana si wote mtafika kileleni kwa maana ya wote kutoa semen
Mwalimu wako wa Biology alikoseaje katika hili? Mwanaume pekee hutoa semen, labda Kama huongelei ngono ya mwanamke na mwanaume
 
KONGOLE KAMANDA ....HATA KAMA NI YA SIKU NYINGI!
 
Inawezekana japo nafasi ya kutokupata inakuwa ni ndogo sana, kwanza kutokuandaana vya kutosha na kinachofanya nafasi ya kutokupata maambukizi iwe ndogo zaidi ni namna tunavyofanya mapenzi, unaweza kumkuta mwanaume ametoka kukutana na mtu na anajisifia kabisa jinsi alivyomsugua (utafikiri ni kukomoana) sasa hapo ndiyo risk ya maambukizi inakuwa kubwa!!!
 
Yess kupata ukimwi ni kazi ngumu sana, sio kama tunavyofikiri, hata condom yenyewe inazuia ukimwi kwa 64% tu. Na si kwamba wadudu wa HIV hawapiti kwenye condom, yaan inamatundu makubwa tundu moja linapitisha hata wadudu hamsini kwa maramoja. Condom inakukinga usipate friction tu ili pasiwepo mchubuko.so mdudu akigusa ngozi isiyo na mchubuko hana madhara. Kwa mwanau.e kupata ukimwi ni ngumu sana ila kwa mwanamke I cant asure you, wale kila tendo lazima achubuke. Mwandae vizuri mpenzi wako, piga show kawaida tu sio masaa sita
 

Mkuu Leo umenipa somo jipya,lakini kwa nini mkuu wanaoambiwa wamegundulika kuwa na HIV wasipotumia ARVs huwahi mapema kudhoofu na kufariki kuliko wanaotumia ARVs?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…