Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Nilichogundua mkuu wewe ulipita katika medicine ndio maana unamwaga nondo za kutisha.

Unaijua microbiology vizuri mkuu.

Mtu ambaye hajapita kwenye field ya medicine hawezi kuja na hizi hoja sidhani
 

mfano mzur ni corona Bongo
 
Daah,MUNGU mkubwa nimetumia wiki mbili kusoma page zote na kumaliza,zaid nashukuru kwa elimu bora niliyoipata kutoka katika uzi huu
Big up Deception live long!
 
Nimesoma pcm sijaisoma Biology Ila kwa hili I know than sijui aliyenifundisha. Acid ni mbaya sana. Angalia vyakula vinavyoongeza acid mwilini uvipunguze like nyama ni mbaya Sana Ila kwa Africa ndo chakula Cha kifahari eti wewe uko juu
 
Kuna Watu wana damu Zina vismati[emoji4]
 
Hatari sana
 
Ndio, inawezekana ulale na mtu mwenye UKIMWI na usiupate!
Tena, inawezekana ukaoa kabisa mtu mtu mwenye VVU na ukawa unakula mzigo fresh kabisa hata miaka na usipate ngwengwe.

Nimeshashuhudia watu wengi sana hawana maambukizi lakini wameoa.na kuolewa na watu wenye maambukizi.

Kuna Wanawake Wajawazito wanakuja wanapima, wanaitwa Positive lakini ukiwafanyia vipimo wemza wao unakuta wazima kabisa.

In short, kama mtu ameambukizwa halafu anameza dawa vizuri kabisa wale virus wanakuwa Dormant kabisa ni ngumu sana kuambukiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…