Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Daah huu uzi nimeusoma karibu wote na nimeuelewa Sana, pongezi nyingi Sana kwa mleta uzi
 
Ni kweli, kuna demu nili-date nae mwaka mzima kumbe alikuwa kaungua.(Nilimpima kabisa kuhakikisha). Nikaachana nae then nikakaa miezi kama 7 hivi naogopa kujipima.
Ila kuna siku nikajikaza nikaamua kujipima ila Alhamdulillah niko salama.
 
Ni kweli, kuna demu nili-date nae mwaka mzima kumbe alikuwa kaungua.(Nilimpima kabisa kuhakikisha). Nikaachana nae then nikakaa miezi kama 7 hivi naogopa kujipima.
Ila kuna siku nikajikaza nikaamua kujipima ila Alhamdulillah niko salama.
Mkuu unakula kavu na hamjapima? Daah kuna watu majasiri aisee.
 
JF ni darasa.nimesoma posts na comments zote za hii tread(Uzi).kwenye hii thread Deception amenifurahisha na kunielimisha.viva JF.

Sasa wewe wavue tu chupli mademu kwa fujo bila kinga.......... utakapo ukwaa na kuanza kuumwa Ukimwi huyo rafiki yako wa kuokoteza mataka taka yake mitandaoni atakua hayupo wala uki pm hatakujibu

Dunia ya leo ukizama mitandaoni utapata exactly kile unachokitaka kukiamini wewe
Ukiamua kuzama kujiridhisha hakuna Ukimwi/vvu utapata kila kitu kutoka kwa maprofesa hadi vilaza, the same na ukitaka kujua kama upo

Ogopa sana kujadili na mtu anayeanza kuku undermine kwamba umefunga akili, waTz ni wajinga kutafuta maarifa, umekuja kiubishi, haupo tayari kueleweshwa nk nk
Na atakusifia utakapo kubaliana na yeye au kuuliza swali ambalo anajua anaufafanuzi nalo

Kuamini ukimwi upo unajiweka kwenye safe side zaidi kuliko kutoamini
Achana na ngono zembe
Ukimwi upo na unaua

Nimezika ndugu na jamaa wengi sana kabla hata mashudu hayajaingia
Nimefukia ndungu na jamaa zangu kadhaa baada ya kugoma kabisa kutumia mashudu kwa imani hakuna aids

Dunia sasa hivi imebadilika sana kiteknolojia, kuna nchi za Asia huko China Korea wako mbali sana kitabibu na hawafuati mkumbo wa magharibi kama sisi lakini still nahangaika na Hiv/Aids
Huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote
 
Mkuu unakula kavu na hamjapima? Daah kuna watu majasiri aisee.
Ndo inavokuwa kama kamali pata potea. Wife sikuwahi kumpima kabla, nlianza kwa kinga baadae tukaenda kavu weeeee mpaka mimba na kuoana.
 
Bro naomba unitumie namba yako nashida na ww
 
Nisadie namb ako ya WhatsApp kwa mawasiliano zaid
 
Kamani ivi hiyo thread ya cancer na kusukari ipo? If yes, share it please.
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…