kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Sijui kama nina tatizo la moyo au vipi?
Nina pata maumivu makali katikati ya kifua au kwenye kifua upande wa kushota pale ninapo lalia kifua au kulalia mgongo kwa masaa mengi zaidi.
Au nikinyanyua kitu kizoto Na kukaa chini kwa mda mrefu pamoja Na kusimama kwa mda mrefu. Na maumivu hayo Mara nyingi yanapotea mfano nikijinyoosha au kupiga mazoezi.