Je, inawezekana nina tatizo la moyo?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Sijui kama nina tatizo la moyo au vipi?

Nina pata maumivu makali katikati ya kifua au kwenye kifua upande wa kushota pale ninapo lalia kifua au kulalia mgongo kwa masaa mengi zaidi.

Au nikinyanyua kitu kizoto Na kukaa chini kwa mda mrefu pamoja Na kusimama kwa mda mrefu. Na maumivu hayo Mara nyingi yanapotea mfano nikijinyoosha au kupiga mazoezi.
 
Go the hospital, meet the physician doctor
 
Hilo n tatizo la moyo tena apo inaweza ikawa moyo umepanuka

Hyo inaweza kuchangiwa na mawazo mara nyingi pia hata ukiwa na gesi sijui wanaita kiungulia huwa pia mtu anahisi hyo hali ni vyema ukaenda hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…