je inawezekana wadau?

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
2,784
Reaction score
1,317
amefanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2009 na akarudia tena 2010 akapata vyeti viwili.swali je kuna uwezekano wa kufanya kiwe kimoja badala ya viwili vya sasa?
 
Haiwezekani. Anatakiwa aendelee mbele akimaliza form six atapata cheti kimoja ajitahidi afaulu asi rely kwenye kurudia.
 
Hivi mtu akifeli form four anaweza kurudia form two bila matatizo yoyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…