Mkuu binafsi naona kama hiyo inategemeana tu na uchaguzi wa mtu binafsi na wala haihusiani na uwepo wa Masugar-Dad wala masugar-mammy.. Kwa sababu wapo vijana wa kiume ambao huona kama kutembea na mabinti ni usumbufu kwa kuwa wanakuwa na mambo mengi (bado damu inawachemka) Na pia wapo wasichana ambao hu-prefer wababa kwa sababu hizo hizo.. Hivyo kwa mtazamo wao, kutoka na mtu aliyemzidi umri inamsaidia kupunguza presha ya kukimbizana na damu changa wenzie..
Mtazamo wangu.
Wanawake wengi wanataka watu watakaokua wakiwapa pesa pia. Mwanamke hata awe na hela kiasi gani,anapenda kuona mume anaprovide for her. They are just like that.
Mkuu binafsi naona kama hiyo inategemeana tu na uchaguzi wa mtu binafsi na wala haihusiani na uwepo wa Masugar-Dad wala masugar-mammy.. Kwa sababu wapo vijana wa kiume ambao huona kama kutembea na mabinti ni usumbufu kwa kuwa wanakuwa na mambo mengi (bado damu inawachemka) Na pia wapo wasichana ambao hu-prefer wababa kwa sababu hizo hizo.. Hivyo kwa mtazamo wao, kutoka na mtu aliyemzidi umri inamsaidia kupunguza presha ya kukimbizana na damu changa wenzie..
Mtazamo wangu.
wapo kabisa mabinti wanaopenda wanaume waliozidi umri si kwa pesa wala security ila kwa upendo wa dhati kabisa.kweli kwa vijana wa kiume wapo ambao wao bila kuchukua mwanamama waliowazidi umri hawaoni starehe. tena hata kama pesa watatumia mradi atoke na mama aliomzidi umri. bahati mbaya sijaona binti ambaye yeye anazimia tu wanaume waliomzidi umri na si kwa sababu ya security wala pesa bali anapenda tuu. ndio maana nauliza wapo hao?