2007,nimehtm kdato cha nne,2010 nimehtim cha sita,the same year nikapata chuo na mkopo kwa asilimia 30,maisha yalikuw magum pale chuo,nikasoma miez mitano,semister ya kwanza,ya pili nikaacha chuo without informing any1 even the university administration.hii 2014 nahitaji kurud chuo,wasiwasi wangu upo hapa je INAWEZEKANA kupata chuo na mkopo tena na kufanya maomb kwa mara nyingne? waungwana npo njiapanda kwa wazoefu nipeni ushaur au taratib za sasa.ahsanten