C C_rajor Member Joined Jul 13, 2015 Posts 13 Reaction score 3 Jul 13, 2015 #1 Nahis mpo Poa nlkuwa naulza kma MTU alsoma masom ya sayansi lakin aliacha phys je anaweza kuapply vyuo vya afya??? chem ana C na bios ana D
Nahis mpo Poa nlkuwa naulza kma MTU alsoma masom ya sayansi lakin aliacha phys je anaweza kuapply vyuo vya afya??? chem ana C na bios ana D
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Jul 13, 2015 #2 Vizuri ungewakuta wahusika wangekupa details zaidi.