Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
It really shouldn't matter, the past is the past. You can't change it
sasa utajuaje kama ameshabadilika...!? si mpaka umkubali awe mpenzi wako sasa!?
It really shouldn't matter, the past is the past. You can't change it
kwahiyo kama una cv za watu 5 utachagua cv mbaya kwa kuhofia mwenye cv nzuri atakuwa hajui kazi?. Hata waajiri watakubali, waweza kuta mtu ana CV ya nguvu lakini unampa kazi perfomance zeroooo.
.
Nope...I dont think so kama wote huwa wanaangalia past za watu vinginevyo tungekuwa na ndoa chache sanaina matter sana kwangu. Hivi wale wanaotafuta wake wa kuoa na tabia njema kuwa kigezo cha kwanza huwa wanaangalia tabia ipi kama sio past?
And how would you know huyu mtu CV yake ni nzuri?kwahiyo kama una cv za watu 5 utachagua cv mbaya kwa kuhofia mwenye cv nzuri atakuwa hajui kazi?
inawezekana ya kwako pia isiwe clean lakini mabadiliko yanaanza na wewe mwenyewe. Inawezekana ulikuwa mchafu na umeamua kubadilika bila shinikizo la mtu. Ni ngumu kumbadilisha mtu hasa anapokuwa hana utayari wa kubadilika.Hivi unapochunguza CV ya mwenzako what about yours is it clean???
I know that I would think it unfair if anybody judged me about my past.inawezekana ya kwako pia isiwe clean lakini mabadiliko yanaanza na wewe mwenyewe. Inawezekana ulikuwa mchafu na umeamua kubadilika bila shinikizo la mtu. Ni ngumu kumbadilisha mtu hasa anapokuwa hana utayari wa kubadilika.
And how would you know huyu mtu CV yake ni nzuri?
Nope...I dont think so kama wote huwa wanaangalia past za watu vinginevyo tungekuwa na ndoa chache sana
ina matter sana kwangu. Hivi wale wanaotafuta wake wa kuoa na tabia njema kuwa kigezo cha kwanza huwa wanaangalia tabia ipi kama sio past?
na wote wangekuwa hawaangalii past makahaba na micharuko yote ya mjini ingekuwa ishaolewa.
Kuondoa makahaba ambao tunajua fika biashara yao hao micharuko unaowasema wewe mimi nawajua zaidi ya kumi na wameolewa wote na watu wakabaki kushangaa pamoja na kuwa past zao watu walizizungumzia sanana wote wangekuwa hawaangalii past makahaba na micharuko yote ya mjini ingekuwa ishaolewa.