MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Wapendwa
Natumaini wote mlikuwa na weekend njema.
Hivi ulishawahijiuliza ingekuwaje kama kungekuwa na uwezekano wa kurekodi zile confessions za mapenzi, viapo vya nakupenda sana, sijiwezi juu yako n.k tunavyopeana mwanzoni mwa mahusiano? Je unadhani kama mambo yanakwenda mrama, kisha uka'iplay' that tape back...... kungekuwa na kuumizana, kuachana??
Nawaza tu kwa sauti maana mapenzi nilonayo kwa mwandani, na mahashuo nnayomuashua nahofia yasijenisuta siku moja nkijikuta namfanyia visa (MUNGU pitishia mbali) LOL.
Nakumbuka nliambiwaga .............Wallah we mwanamke nakupenda, ukijaniacha nakuua.......afu nikaachwa mie!!!!
Mimi huwa nasema kuwa its funny kwamba
mapenzi yanapoanza kwa wengi wanakuwa wazungu zaidi....
Mwendo ni honey,sweetheart...baby.......my love ......n.k.....
Sasa wakati wa kuachana tunaachana kiswahili.......utasikia...
We mwanamke gani,ooh mbwa kabisa,nguruwe na matusi ya nguoni
ambayo yote kwa kiswahili tena fasaha.....
Sasa huwa nacheka...najiuliza...kwa nini kutongozana kiswahili hamjui,
kuachana ni we mama nanihi kwenda kwenu,nisikuona hapa .mbwa kabisa...
Tuachane kwa kiingereza pia.....lol

Duhh, kaka BaK nyimbo ya wakati wa ujana wangu hiyo...lohhh...ila ujumbe wake na sredi hii ya Mwj1 nimejikuta
nashangaa shangaa kuliko ku decipher the msg behind...lol...!

Hakuna kitu kigumu kama kutoa ushauri wa mapenzi kwani kila mtu na kila "pair of the couples" ni tafauti na nyengine. Lakini kitu kinachoweza kupunguza maumivu ni kujipenda zaidi mwenyewe. Ikiwa haiwezekani basi tenga angalau 25% za mapenzi kwa ajili yako mwenyewe. Ukifanya hivyo, hata uambiwe "nakupenda, ninakufa kwa ajili yako, sijiwezi....blah blah blah...moyoni unasema "ninajipenda zaidi, nitakufa kulinda mapenzi yangu kwangu, sijiwezi kwa ninavyoipenda nafsi yangu. Yakidumu poa, siku akigeuka, atambue kuwa wewe ulishamtangulia hatua chache kwenye uamuzi huo.

Maisha yanaendelea. Hakuna kitu cha kipuuzi kama kulilia maji yaliyokwishamwagika.

hahahhhh we bht acha kabisa yaani mie nkikumbuka nabaki najikagua kwenye kioo pengine nimebadilika rangi au sura ah.... Bahati mbaya huwa nahifadhi moyoni yaani nkiyakumbuka loh!!jamani MJO, mi nina text msgs tangu ya kwanza na emails zote (sijui ndo kunogewa yaani ni kama treasure, maana siwezi kuzifuta)...na kukitokea mtafaruku nazirejelea zote. Sasa hapo ndo maumivu zaidi....

But at good times....ooh my, you just go through them and smile all alone!
Mbu we acha tu! Na kitisho hicho kilitolewa kwa kilio! Nway labda nlibadilika nkayapunguza mwe!LOL....hhhaaaa hhahhahahha!...weye utanifayisha mwezi mtukufu niwe nailia futari JF! khaaa

eti 'afu nikaachwa mie!!!' LOHHH, ama kweli umenichekesha mpaka najishtukia!....

Halafu Mwj1, huyo anayesema hivi ndio yule aliyekuwa anagombana na Video ya kiapo cha harusi au?

Kuna topik fulani nilikusoma haeshi kukusumbua mrudiane, labda ndio maana yake....'mpaka akuue!' Mnh?..

Mw'mungu apishilie mbali!
Huu wimbo ni katika kuburudisha tu Mkuu, nani kakwambia miaka 30 🙂 ni uzee, Mkubwa? Bado unadai sana tu....cha muhimu ni kuomba Mwenyezi Mungu atujaalie maisha marefu na afya njema....
don't make promises when you're happy,
don't make decisions when you're angry.
don't decide when you're sad.
...ukishayatafakari hayo hapo juu, utagundua umuhimu wa kuwa mstahmilivu, msikivu,
mvumilivu, na mwenye kuamua baada ya kufikiria. It's all about how to discipline ourselves.