Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Ila tunaona kila anapokuwa rais lazima ADC awe nyuma yake , na nimeona mh rais anapokuwa nje ya nchi hupewa mpambe anayetokana na jeshi la nchi aliyotembelea yaani kama vile rais haruhusiwi kusimama peke yake!ADC siyo mlinzi wa Rais kwahiyo ingetokea kwake ingekua haiathiri chochote.
Hebu leta picha inayoonyesha akiwa nje ya nchi amepewa ADC mwingineIla tunaona kila anapokuwa rais lazima ADC awe nyuma yake , na nimeona mh rais anapokuwa nje ya nchi hupewa mpambe anayetokana na jeshi la nchi aliyotembelea yaani kama vile rais haruhusiwi kusimama peke yake!
Hii hapa inatosha au nilete nyingine?Hebu leta picha inayoonyesha akiwa nje ya nchi amepewa ADC mwingine
Umeleta mapema mkuu mngebishana bishana kidogo mtukanane mpigwe na ban ya wiki halafu mkirudi ndo mnaleta picha sasa wewe kubishiwa kidogo tu tayari picha hiyo hapo!, tena unasema ulete nanyengine!.. Imekuwa laini sana!..πHii hapa inatosha au nilete nyingine?
Na wewe nakuletea ya kwako hii hapa! πππUmeleta mapema mkuu mngebishana bishana kidogo mtukanane mpigwe na ban ya wiki halafu mkirudi ndo mnaleta picha sasa wewe kubishiwa kidogo tu tayari picha hiyo hapo!, tena unasema ulete nanyengine!.. Imekuwa laini sana!..π
Mtoa mada amekasirika akaamua aue Kila kitu mapema tuuUmeleta mapema mkuu mngebishana bishana kidogo mtukanane mpigwe na ban ya wiki halafu mkirudi ndo mnaleta picha sasa wewe kubishiwa kidogo tu tayari picha hiyo hapo!, tena unasema ulete nanyengine!.. Imekuwa laini sana!..π
Mimi haya mambo nayajua huna haja hata yakunielimisha wakati haya mambo tulishajadili humu ndani toka zamani sana!Na wewe nakuletea ya kwako hii hapa! πππ
Lazima akiwa nje hupewa mwinhine wa jeshi kule....mpambe wake hukaa pembeni ya huyo....mwenyejiiHebu leta picha inayoonyesha akiwa nje ya nchi amepewa ADC mwingine
Nimekuelewa. Kuna baadhi ya watu wengine hupenda kubishana kwa jambo ambalo hawajalifanyia japo uchunguzi wa kawaida usiohitaji kutumia akili nyingi. Sasa mimi huwa nawafunga midomo mapema tu!Mimi haya mambo nayajua huna haja hata yakunielimisha wakati haya mambo tulishajadili humu ndani toka zamani sana!
Kwakuwa haya mambo unayajua naomba unisaidie uelewa au mtu mwingine yeyote mwenye majibu anisaidie kama ifuatavyo:.Mimi haya mambo nayajua huna haja hata yakunielimisha wakati haya mambo tulishajadili humu ndani toka zamani sana!