Je interview inayohitaji ulipie Aptitude test ni ya ukweli au longolongo?

Rehema Justine

New Member
Joined
Nov 12, 2021
Posts
3
Reaction score
2
Naomba msaada kujua kuhusu kujilipia aptitude test..Nimepata email ya kua shortlisted lakini inatakiwa nifanye vitu viwili kwanza, moja ni kujaza fomu yao ya 'New staff entry assessment form (attached below) na kusubmit certification ya Psychometric Test Assessment (PAT) ambayo kuipata kwake ni lazima ulipie huo mtihani. Je kuna mtu ashawahi kutana na hii scenario na je ni kitu cha kweli au utapeli?
 
Attachments

Naomba msaada kujua kuhusu kujilipia aptitude test..Nimepata email ya kua shortlisted lakini inatakiwa nifanye vitu viwili kwanza, moja ni kujaza fomu yao ya 'New staff entry assessment form( attached below) na kusubmit certification ya Psychometric Test Assessment (PAT) ambayo kuipata kwake ni lazima ulipie huo mtihani. Je kuna mtu ashawahi kutana na hii scenario na je ni kitu cha kweli au utapeli?????

Full utapeli! Hao matapeli wanajipa majina ya International NGOs kama: Africovid, Funds for Africa, African Child International, Food Hunger, African Focus, HJHI, Aid Africa etc... Wote hao ni mtandao mmoja wa matapeli. Achana nao!
 
Naomba msaada kujua kuhusu kujilipia aptitude test..Nimepata email ya kua shortlisted lakini inatakiwa nifanye vitu viwili kwanza, moja ni kujaza fomu yao ya 'New staff entry assessment form( attached below) na kusubmit certification ya Psychometric Test Assessment (PAT) ambayo kuipata kwake ni lazima ulipie huo mtihani. Je kuna mtu ashawahi kutana na hii scenario na je ni kitu cha kweli au utapeli?????
Ni matapeli, duh watu hawazoei tu huu utapeli??
 
Naomba msaada kujua kuhusu kujilipia aptitude test..Nimepata email ya kua shortlisted lakini inatakiwa nifanye vitu viwili kwanza, moja ni kujaza fomu yao ya 'New staff entry assessment form( attached below) na kusubmit certification ya Psychometric Test Assessment (PAT) ambayo kuipata kwake ni lazima ulipie huo mtihani. Je kuna mtu ashawahi kutana na hii scenario na je ni kitu cha kweli au utapeli?????
Swali la kwanza, je uliwahi kuomba kazi kwao?
Ukipata jibu basi utajua cha kuamua
 
Back
Top Bottom