Rehema Justine
New Member
- Nov 12, 2021
- 3
- 2
Naomba msaada kujua kuhusu kujilipia aptitude test..Nimepata email ya kua shortlisted lakini inatakiwa nifanye vitu viwili kwanza, moja ni kujaza fomu yao ya 'New staff entry assessment form( attached below) na kusubmit certification ya Psychometric Test Assessment (PAT) ambayo kuipata kwake ni lazima ulipie huo mtihani. Je kuna mtu ashawahi kutana na hii scenario na je ni kitu cha kweli au utapeli?????
Ni matapeli, duh watu hawazoei tu huu utapeli??Naomba msaada kujua kuhusu kujilipia aptitude test..Nimepata email ya kua shortlisted lakini inatakiwa nifanye vitu viwili kwanza, moja ni kujaza fomu yao ya 'New staff entry assessment form( attached below) na kusubmit certification ya Psychometric Test Assessment (PAT) ambayo kuipata kwake ni lazima ulipie huo mtihani. Je kuna mtu ashawahi kutana na hii scenario na je ni kitu cha kweli au utapeli?????
Swali la kwanza, je uliwahi kuomba kazi kwao?Naomba msaada kujua kuhusu kujilipia aptitude test..Nimepata email ya kua shortlisted lakini inatakiwa nifanye vitu viwili kwanza, moja ni kujaza fomu yao ya 'New staff entry assessment form( attached below) na kusubmit certification ya Psychometric Test Assessment (PAT) ambayo kuipata kwake ni lazima ulipie huo mtihani. Je kuna mtu ashawahi kutana na hii scenario na je ni kitu cha kweli au utapeli?????
Shukrani kwa ushauriMostly interviews zinazohitaji malipo si za kuaminika sana ni wapigaji, so kuwa na tahadhari ikibidi piga simu kwa number zao za kuaminika upate uhakika.
Yes niliomba kwanza mwezi wa nane, wamenijibu this novSwali la kwanza, je uliwahi kuomba kazi kwao?
Ukipata jibu basi utajua cha kuamua