Je interview (usaili) kada ya ualimu umeahirishwa?

Je interview (usaili) kada ya ualimu umeahirishwa?

indundidotcom

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
235
Reaction score
230
Juzi kati ilikuwa inapita barua mtandaoni ya kutaarifu kuahirisshwa kwa usaili wa kada ya ualimu. Sa mtandaoni kwenye status ajira portal haipo haionekani taarifa hiyo.

Ukweli ukoje waungwana?
 
Utumishi wamezingua sana. Binafsi nilitamani kweli kuona namna watakavyo wafanyia hiyo interview watu zaidi ya laki moja na nusu, mara mbili! Nchi nzima!!
 
Usaili upo kama ilivyopangwa, zingatia ratiba yako
 
Back
Top Bottom