Juzi kati ilikuwa inapita barua mtandaoni ya kutaarifu kuahirisshwa kwa usaili wa kada ya ualimu. Sa mtandaoni kwenye status ajira portal haipo haionekani taarifa hiyo.
Utumishi wamezingua sana. Binafsi nilitamani kweli kuona namna watakavyo wafanyia hiyo interview watu zaidi ya laki moja na nusu, mara mbili! Nchi nzima!!