Wasalaam,
Kama swali linavyojieleza hapo juu ipi ni pikipiki bora kati ya Haojue na Kinglion kuanzia kimuonekano, speed, kudumu na nguvu.
Pia ipi ambayo imeteka sana soko la tz kati ya hizo pikipiki mbili.
Karibuni tujadili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo chuma unadhani bei yake yakitoto?sio level za michina aliyoiulizia mtoa mada kabisaKwa matumizi ya kutembelea chukua HONDA BUSHLANDER CTX 200 utaipenda
haya yote tunayajua ndugu. tatzo kuu wembamba wa pochi zetu. haya madude uliyoyataja ugumu wake sio tu kuyanunua bali kuyahudumia na kuyapatia yanachotaka.Kwa matumizi ya kutembelea chukua HONDA BUSHLANDER CTX 200 utaipenda