Je ipo haja ya kutolewa ufafanuzi kuusu kusitishwa kwa mchakato wa katba mpya?

Je ipo haja ya kutolewa ufafanuzi kuusu kusitishwa kwa mchakato wa katba mpya?

Riadha jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
567
Reaction score
331
wasalaam, watanzania kwa jumla wakuu pamoja na wana jf poleni kwa majukumu,moja kwa moja katka mada-tulivo amua kuleta rasimu ya katiba mpya tulikua na kusudio gani? na kwa sasa mchakato huu umesitishwa kwa kuhofia nini? hatari za kusto endelea na zoezi hili zipo wapi ? na ni kwanini baadhi ya waumini wa mabadiliko kubadili mawazo yao? tunaomba kujua kama zoezi hili halikua la maana kwetu ilikua haja gani ya kupoteza kodi za wananchi ,je kusto endelea zoezi hili lipo kisheria au limestishwa na baadh ya watu?na ni kwanini,
 
Back
Top Bottom