Msaada rafiki yangu kanipigia simu analia alibreed tar 3-6 mwezi wa 8 akiwa Dodoma tar 7 na 8 akafanya mapenzi bila kinga mpenzi wake akamwaga ndani..leo hii tar 10 mwez wa 9 hajaona siku zake na yuko moshii..nimeshindwa cha kujibu. je itakuwa ni mimba?
Muulize vizur atakua kakudanganya coz toka mwez wa sita mpaka mwez wa nane siku anaduu alikua hajaingia bleed, may b ana matatizo,, coz ukiwa normal bleed must kila mwez...
Naomba kujua pia hivi mwanamke akifanya mapenzi siku 1 baada ya ku-bleed aweza pata mimba?
mfano ameanza ku-bleed tar 1,2 na 3 akamaliza na cku iliyofuata akafanya mapenzi, je vp hapo aweza pata mimba?
mimba hushika kuanzia siku ya 12 baada ya siku ya kwanza ya bleed hadi siku ya 18/19 zingine ni salama ila kwa mzunguko wa kawaida wa hedhi yaani yule ambaye hedhi huwa tarehe hiyohiyo