Jana 29/09/2010 James Mbatia, mgombea ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya NCCR Mageuzi alikuwa akifanya Mkutano wa kampeni Tegeta zaidi ya saa 12.00 jioni (12.31). Hivi James atawafaa kweli wana-Kawe wakati hata sheria hazifuati? Hivi huu muda wa NEC saa 12 jioni maanake mpaka 12:59? Kama mwisho ni 12 kamili, sasa nyie NEC mko wapi kuwashughulikia hawa watu type ya JK? Kwa sababu mimi nimepita pale saa 12:31 na akiwa anaendelea!