Je Jamii Forums ina Premium Contents, kama zipo utaratibu umekaaje Kuweza kuaccess premium contents?

Je Jamii Forums ina Premium Contents, kama zipo utaratibu umekaaje Kuweza kuaccess premium contents?

Light saber

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
4,368
Reaction score
7,935
Habari wanajamvi,

Mimi pekee au Kuna wengine ambaao wanajionea kuwa contents za Jukwaa letu hili Siku hizi hazina mashiko.

Baada ya kuliona hili nimechukua hatua ya kuuliza kama zipo contents premium naomba moderators Mtufahamishe.. na Namna ya kuziaccess
 
Asante kwa kutuongezea hoja isiyokuwa na mashiko.
 
Mfano wa contents ambazo hazina mashiko ni upi???
Hapa kuna majukwaa ya kila aina utachagua jukwaa lenye contents zinazokufaa
anachoongea mtoa mada ni ukweli,siku hizi JF hamna content za maana, pamekua kama facebook tu. Unaweza maliza miezi hujakutana na content educative au entertaining ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom