Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
JamiiForums , Maxence Melo hebu tupeni maarifa, huyu Pascal Mayalla, Nyani Ngabu na Mshana Jr wako special kiasi GANI?Habari wanajamvi,
Mimi pekee au Kuna wengine ambaao wanajionea kuwa contents za Jukwaa letu hili Siku hizi hazina mashiko.
Baada ya kuliona hili nimechukua hatua ya kuuliza kama zipo contents premium naomba moderators Mtufahamishe.. na Namna ya kuziaccess
Au contents zinakuwa tailored based on my Interactions with JF?Mfano wa contents ambazo hazina mashiko ni upi???
Hapa kuna majukwaa ya kila aina utachagua jukwaa lenye contents zinazokufaa
😁 lile jukwaa la wakubwa tuZamani zilikuwepo (premium forum)sidhani kama siku hizi zipo
😁 lile jukwaa la wakubwa tu
Kitambo sijaliona nilijuaga nimekosa sifa za kuwa mwanachama huko wamenitoaLile walilifuta kuna sheria iliwabana
Asante kwa kutuongezea hoja isiyokuwa na mashiko.Habari wanajamvi,
Mimi pekee au Kuna wengine ambaao wanajionea kuwa contents za Jukwaa letu hili Siku hizi hazina mashiko.
Baada ya kuliona hili nimechukua hatua ya kuuliza kama zipo contents premium naomba moderators Mtufahamishe.. na Namna ya kuziaccess
anachoongea mtoa mada ni ukweli,siku hizi JF hamna content za maana, pamekua kama facebook tu. Unaweza maliza miezi hujakutana na content educative au entertaining ya kueleweka.Mfano wa contents ambazo hazina mashiko ni upi???
Hapa kuna majukwaa ya kila aina utachagua jukwaa lenye contents zinazokufaa