Je, 9D tutaandamana kweli au tunadanganyana huku mtansaoni??
Kama hatuandamani mseme wengine tuache kujiandaa.
Kujifunza kuhusu nini?Mkuu bado tu haujajifunza kwenye MO29?
Maswali hayo hayo yako watu waliuliza before MO29.Kujifunza kuhusu nini?
Maandamano LazimaJe, 9D tutaandamana kweli au tunadanganyana huku mtandaoni??
Kama hatuandamani mseme wengine tuache kujiandaa.
Maandalizi yanaendelea na yamepamba moto..Tik tok kuna Jamaa anaitwa Habil ndiye architect wa hayo maandamano na ameanza kuandika barua kwenda taasisi mbalimbali za kimataifa ikiwemo vyombo vya habari..Je, 9D tutaandamana kweli au tunadanganyana huku mtandaoni??
Kama hatuandamani mseme wengine tuache kujiandaa.